• Business Starts Here!

TZS 350k - Nyumba Mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo


Nyumba Mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo Nyumba Mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo Nyumba Mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo Nyumba Mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo

Nyumba mpya ya kupangisha Kiromo, Bagamoyo.
Ni nyumba ya vyumba vitatu ambapo kimoja ni self contained. Vilevile ina servant quarter ya chumba kimoja. Ina umeme, maji, fence na mabanda ya kuku. Vilevile ina eneo kubwa. Ni nyumba iliyojengwa kisasa yenye fitted kitchen na floor tiles.

Kodi ni TZS 350,000/= kwa mwezi. Tafadhali wasiliana nasi kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu" kupata namba zetu. 

Contact UsSend Email

  • CCM Complex
  • 30 Shekilango road
  • Sinza Palestina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam


Share Product